Female Package

REGISTER

Huduma utakazopata:

• Kondomu 100 za aina tofauti na vionjo mbali mbali. 

• Ushauri nasaha pamoja na huduma za afya ya uzazi.

• Upimaji wa saratani ya matiti na saratani ya shingo ya mlango wa kizazi.

• Upimaji wa magonjwa ya zinaa.

• Ushauri kuhusu stadi za maisha ya kijana.