FIND YOUR METHOD
Jifunze njia mbali mbali za uzazi wa mpango
Click Hapa

for a great future..

iPlan ni nini?

iPlan ni kifurushi cha afya ya uzazi kwa vijana (18-25 yrs) kinacho muwezesha kupata huduma rafiki.

Faida za kujiunga

  • Kumuwezesha kijana atimize ndoto zake akiwa na afya BORA.

  • Kumuwezesha kijana kupata huduma rafiki katika vituo vyetu mbali mbali.

  • Kupata fursa ya kuchagua njia ya uzazi wa mpango anayo hitaji.

  • Kujikinga na kuwakinga awapendao dhidi ya magonjwa ya zinaa na UKIMWI.

JIUNGE SASA KWA TSHS 10,000/= TU KWA MWAKA!!

Our

Packages

Click on the images for more information

Female Package

Register

Male Package

Register

Vijana na iPlan